Padri Medard Chegere Paroko wa Parokia ya Musoma mjini anawaalika waamini wote walioko ndani na nje ya Jimbo Katoliki la Musoma kushiriki pamoja naye katika adhimisho la Misa Takatifu yakumshukuru Mungu kwa miaka 25 ya upadri itakayofanyika Agosti 8,2025 Kanisa kuu na kuongozwa na Mhashamu Baba Askofu Michael Msonganzila na baadae katika Parokia ya Rosana t Agosti 30,2025.Karibuni sana.