Askofu mkuu mstaafu Paul Ruzoka, Aadhimisha Misa Takatifu ya kilele Cha sherehe ya Huruma ya MunguApril 21, 2025religious Askofu mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Tabora Paul Ruzoka, wakati wa Misa Takatifu ya kilele Cha sherehe ya Huruma ya Mungu Kiabakari Jimbo Katoliki la Musoma.